Tag: Max Ngala- Wewe Ni Mungu
-
Wewe Ni Mungu! Max Ngala Atoa Ushuhuda Mbona Hakuna Wa Kufananishwa Na Maulana Kwenye Wimbo Wake Mpya.

Bingwa na ustaadh Wa Nyimbo Za Injili Max Ngala ameuzindua Wimbo mpya ambao ni WA pili Toka mwezi wa Aprili kungoa nanga .Max ametia bidii iliopita ya mchwa akihakikisha kuwa mashabiki wake wanashiba kimziki na pia Kiroho. Max Ngala ambaye ametajwa na mchapishaji Mashuhuri wa Nyimbo PrestaBlogs kama msanii wa wikii anaendelea kun’gaa Kwenye uwanja…
