Tag: Shariff J Msaada Wa Yesu
-
“WACHANENI NA SIZE 8 HAKUNA ASIYEKOSA HISTORIA” MSANII WA INJILI SHARIFF J ASEMA.

Msanii wa nyimbo za injilii Shariff J anayebobea na wimbo wake mpya unaojulikana kama msaada wa jesu ambao ukitasfiriwa kutoka lugha ya kigiriama wamaanisha msaada wa yesu amewakosoa watu ambao wanaomrushia size 8 cheche za matusi baada yake kuonekana juzi akimwombea mshirika wa kanisa lake. Chanzo cha matusi haya kimetokana na kuwa picha za size…
