Niko Hapa Max Ngala Ajitolea Mhanga Kumtumikia Mwenye Enzi.

Mtunzi aliyebobea kwenye uimbaji Wa nyimbo za kiroho Max Ngala amewandalia wasikilizaji pamoja na mashabiki wake Wimbo mpya unaoitwa Niko Hapa ambao ameushirikisha mwimbaji mwenza Lillian Brown.


Max Ngala ni msanii amabaye kabirikiwa na sauti nyororo na hivyo Toka Enzi za kale aliamua atajitosa kwenye injili na kuijumuisha na uchezaji Wa ala za mziki Ile aweze kufundisha Neno na kuwatumbuiza mashabiki wake akiwa ameandika na kuziwachilii nyimbo zisizpota Kumi na tano mwaka huu ,Niko hapa ikiwa ndio kazi yake mpya.


Niko hapa ni Wimbo wa kupendeza unaomfuata Mad Max akitembea kwenye Barbara ya kumbukumbu akikumbuka wakati mumba wake alimwongelesha na kumwelezea kile angetaka ndio awe kwenye uhusiano mwema ,atakavyoishi, ya kuyatupa ndio awemsafi mdihili ya theluji ili siku mmoja aweze kuungana naye binguni.

Hivi Max akisaidiwa na Lillian Brown aongeza kuwa ashawacha Njia Zake za dhambi na amejitakasa na Sasa yupo tayari Kumtumikia muumbaji wake Kwa ghali na Mali kwani ameshagundua Raha za Dunia ni bure bilashi na Sasa yupo hapa ndio aweze kupata uhalalisho toka Kwa mungu.

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started