Category: Swahili
-
Azimio! Msanii Aliyebobea Isaka Makaya Azindua Wimbo Wake Mpya Akimsifia Raila.

Mwimbaji marufu Isaka Makaya ameuwachilia mzuka wake mpya unaoitwa Azimio ambao unampigia Kiongozi wa upinzani raila odinga ambaye anawania kiti cha raisi kwenye uchaguzi mkuu utakao fanyika mwezi ujao tarehe tisa Agosti. Isaka Makaya alizaliwa mwaka wa 1976 katika jimbo la migori na eneo alikozaliwa kulikuwa na wasanii mashuhuri kama Collela Mazee, prince jully na…
-
Niko Hapa Max Ngala Ajitolea Mhanga Kumtumikia Mwenye Enzi.

Mtunzi aliyebobea kwenye uimbaji Wa nyimbo za kiroho Max Ngala amewandalia wasikilizaji pamoja na mashabiki wake Wimbo mpya unaoitwa Niko Hapa ambao ameushirikisha mwimbaji mwenza Lillian Brown. Max Ngala ni msanii amabaye kabirikiwa na sauti nyororo na hivyo Toka Enzi za kale aliamua atajitosa kwenye injili na kuijumuisha na uchezaji Wa ala za mziki Ile…
